Azzam imekamata nafasi ya kwanza ikiipita 'ECLIPSE' inayomilikiwa na tajiri wa Chelsea Abromovich iliyokuwa ikishikilia rekodi hiyo.Azzam ina urefu wa mita 180 (sawa na futi zinzokadiriwa 600) na inaizidi Eclipse kwa mita 17.
Hata hivyo mmiliki wa meli hii bado hajawekwa wazi lakini inasadikika ni kutokea mashiriki ya kati (middle east).Ifahamike pia kuwa 'AZZAM' ni jina la meli hiyo na hakuna uhusiano na brand ya Bakhressa iitwayo 'AZAM'.
Chanzo: yachtworld.com
0 Comments
If you like this post be sure to leave a comment and share it with your friends. It will make my day!